
SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA.. ACCESORIES PICHA NA 8020Fashions Blog …
SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA.. ACCESORIES PICHA NA 8020Fashions Blog …
Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo k…
Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar. Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tano bora shind…
Miss Tanzania 2014, Siti Abass Zuberi Mtemvu akipunga mkono mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika shindano lililoshirikisha warembo 30 na kufanyika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Siti Mtemvu ametwaa taji hilo lililok…
Kila binadamu na hisia na zake, nasema hivyo nikimaanisha kwamba unaweza ukamkuta mwingine wakati akiguswa shingo anashtuka hadi kudondoka mwingine wala hajishughulishi!! …
1 Lip Licking: Slowly but softly run the tip of your tongue along your lover's lips almost like you are lightly licking them. It catches most men off guard, but I've got nothing but rave reviews. …
Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana (umbusu-akubusu) hivyo ni jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti (kama zile busu za sauti za vijana mtaani) na badala yake busu kimahaba….. …
Namshukuru Jalali kwa kuniwezesha kukutana tena na wewe msomaji wangu mpendwa wa safu hii nzuri ambapo tunajuzana, kushauriana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.…
Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.…
KUNA watu wanaanzisha mapenzi, kabla ya yote tayari wanazungumza kwamba katika uhusiano wetu tutakuwa hivi na vile, lakini kuna mwingine unamwambia tu unampenda, dakika tano zijazo tayari mnakwenda kukutana faragha. …
Wapenzi wengi hasa wale ambao uhusiano wao ni mchanga hupenda sana kufanya mapenzi kila wanapokutana au wanapohisi wamehemkwa na miili yako.…
Ni njia gani za kumpata mwenzi wa maisha yako? Inawezekana unakabili mtihani mzito, hujui ni yupi wa nafsi yako. Bila shaka unamtaka yule wako wa kufa na kuzikana.…
UHUSIANO wenye amani na masikilizano ndiyo kitu ambacho kila mmoja wetu anakihitaji na ikiwa hivyo unaweza ukajikuta unanawiri tu! Wakati mwingine unaweza hata kujikuta hujala chochote lakini ukajihisi umeshiba eti kwa sababu tu umemuona mpenzio …
HAPANA shaka mtakuwa wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Kwa upande wangu mimi ni mzima wa afya njema kwa uwezo wa Maanani.…
Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya…
KUNA kelele nyingi sana kutoka kwa akina mama, wakilia kutendwa na wenza wao. Nimewahi kukutana nao wengi sana, wakilalamika na ukijaribu tu kuwagusia kuhusu nia yako ya kutaka urafiki nao, utawasikia: “Weee, tena sitaki hata kumsikia mtu anaitwa mw…
WAKATI fulani kwenye uhusiano suala la migogoro ni la kawaida. Inaelezwa kwamba, wapenzi wanapoingia kwenye kuhitilafiana ndiyo uimara wa penzi unapotokea. Yeah! Matatizo hukomaza akili. Mkikaa bila kugombana ni vigumu kujua namna mwenzako alivyo…
"I Don't Ever Wanna See You Again" was written by Morris, Nathan. Edit "I Don't Ever Wanna See You Again" was written by Morris, Nathan. For Example... What chart rank did the song debut? What is the song about? Has it won any awards?, etc. Cancel…
HABARI za leo wasomaji wangu? Kabla ya kuanza mada hii ya leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu kwani ameniwezesha kufika siku hii.Mada leo inahusu siku za hatari ambazo mwanamke akifanya ngono bila kinga basi anakuwa katika hatari…
NI siku nyingine tunakutana tena kwenye safu yetu nzuri ya Love & Life. Lengo ni lilelile, kupeana mawili matatu kuhusu maisha yetu ya kimapenzi.Kila siku tunapaswa kujifunza zaidi kuhusu uhusiano na mapenzi maana maisha yetu hatuwezi kuwakwepa w…
NINA furaha sana kukutana nanyi tena katika ukurasa huu ambao kila siku hutufunza mambo mapya kuhusu mapenzi. Kama kawaida, leo nina mada nzuri ambayo itakufungua.Marafiki zangu, hisia za mapenzi hutokea ndani kabisa ya moyo. …