ZIFUATAZO NI DALILI KUU ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI:
1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika kileleni ni ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa wanawake wengi napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya kupiga kelele za fujo ila kelele zinazopigwa ni zile za raha zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama alikuwa anatoa sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na kuikuza sauti. Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno pindi raha zinapozidi,
2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua mwanamke anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake wengi hubainika kufika kileleni pindi raha zinapo wazidia na wanapo kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta hutumia nguvu nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka wanapomaliza kukidhi haja yao katika hili pia unaweza kumuona mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua ya kukung'ata meno ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya vitu bila kutarajia.
- Naamini somo limeeleweka na kwa hizi dalili chache sidhani kama ikitokea mwanamke wako akifanya moja wapo kati ya hili kwako itakuwa kama suprise ni vitu vya kawaida katika mapenzi na jinsia zote mbili zina haki ya kuridhika katika sehemu ya kusex. Ushauri wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi mazuri kabla ya tendo kwani siku zote huwezi kuplan kujenga nyumba bila kuwa na msingi na kwenye mapenzi pia huwezi kufanikiwa kumridhisha mwenza wako bila kumuandaa.
Post a Comment
Kama umependezwa na hii stori toa maoni yako kama unayo