0



Kila binadamu na hisia na zake, nasema hivyo nikimaanisha kwamba unaweza ukamkuta mwingine wakati akiguswa shingo anashtuka hadi kudondoka mwingine wala hajishughulishi!!
 
Maisha ya mapenzi yanahitaji ufundi ili yaweze kuwa furaha ya maisha katika maisha yenu . La sivyo utajikuta unaibiwa km si kumkera mwenzi wako!
 
Wapendwa, kuwa katika mahusiano ya furaha aihitaji kwenda kwa waganga wa kienyeji au kuwa na bahati kama wengine wanavyodhani bali ni kujua unachohitaji kutoka kwa mpenzi wako na ufahamu jinsi ya kunfanya afurahi.

Naamini tendo la ndoa si kitu kigeni masikioni mwa watu wengi waliopo kwenye mahusiano halali. Tendo hili ni raha na ni kama uti wa mgongo katika maisha ya wapenzi, lakini kuna watu wapo kwenye mahusiano lkn hawalifurahii.
 
 
 Kuna watu wanafanya mapenzi katika mtindo ambao hauna tofauti na kubakana. Hivi uliwahi ona wapi Simba na Yanga wakacheza mechi bila maandalizi? hakika hakuna kitu kama hicho. kwa sababu hakuna anayetaka kucheza chini ya kiwango na kushindwa kuwapa burudani washabiki wao.

Sasa wewe inakuwaje unacheza mechi bila kuwa na maandalizi? Wewe na mwenzi wako ni kama Simba na Yanga tofauti yenu ni kwamba wao wana washabiki wakati nyinyi ni wachezaji na pia ndio washabiki!

Best, tendo la ndoa linahitaji maandalizi na si kukurupuka kama vile wafanyavyo wacheza mieleka wawapo ulingoni! Kunvaa mpenzi wako na kuanza kula tunda hiyo haina tofauti na kubakana kwa sababu hakuna burudani itakayopatikana baina yenu!

Pia kuna watu wana uelewa mdogo juu ya suala la maandalizi kabla ya tendo la ndoa, wengi hudhani denda hutosha kuwa andalizi la tendo zima bila kujua kuwa, kama ni hesabu basi hiyo ni namba moja. 
 
Miili tuliyonayo kama ikitumika vizuri ni silaha tosha itakayonfanya kila mmojanwetu afurahie tendo la ndoa na kutamani kulirudia tena na tena. tatizo kuna baadhi yetu hawajui sehemu gani zinamsisimko zaidi katika miili ya wandani wao. 
 
Hivyo kujikuta wakishindwa kutumia sehemu hizo katika kupasha joto miili ya wapendwa wao kabla ya game, kama wewe ni mmoja wao basi hapa umepata tiba.
Usikae mbali kujua sehemu gani ya mwili wa mwandani wako yaweza kuleta msisimko....

SEHEMU  TATU   MUHIMU

Shingo
Ni kiungo ambacho kinaonekana kwa urahisi sana na pengine kutokana na hilo kuna baadhi ya watu huwa hawakitazami kama ni miongoni mwa viuongo ambavyo vina msisimko wa ajabu katika masuala ya malovee.

Katika swala la mapenzi shingo ni sehemu zenye 'stata' ya haraka sana katika kuamsha 'maruhani' ya mapenzi kea mpenzi wako. Unachotakiwa kufanya ukiwa na mpenzi wako falagha ni kuanza kuipapasa shingo yake taratibu kwa kutumia ncha ya vidole vyako, huku ukiwa makini ili usije mkwaruza na kucha ikiwa unazo ndefu, au unaweza kuwa unailamba kwa ustadi kwa kutumia ncha ya ulimi wako kama afanyavyo mbwa anywapo maji!

Kwa kuonyesha jinsi gani shingo ilivyo 'nuksi' katika kuleta usumbufu mtamu wa mapenzi katika mwili wa laazizi wako, utamuona anaanza kujipinda pinda kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taa, huku kiwango chake cha kuhema kikiwa maradufu kikishabihiana na mtu mwenye jazba ya kupigana.

MASIKIO

Ndiyo, masikio haya haya tunayotumia katika kusikia, kwani nani alikwambia hayana kazi nyingine? Kama ulifikiri kazi yake ni kusikia pekee, karaga bao!kwa taarifa yako tu, wajanja katika suala la mapenzi wanakithamini sana kiungo hicho, unajua kwa nini?
 
 Aaah hapa hatukizungumzii katika umuhimu wake wa kusikia maongezi na taarifa muhimu.
 
Bali ni kwa sababu ni miongoni mwa makao ya 'undende' katika mwili, na mara tu uanzapo kupenyeza ulimi katika sikio la mpenzi wako, mara moja hali hubadilika huku zile sauti za kugugumia hudikika!


Masikio ni sehemu zenye msisimko sana katika mwili wa mpenzi wako, na hata kama alikwambia hajisikii ukianza tu kuingiza ulimi au hata vidole basi mwenyewe atahitaji 'dose' bila kulazimishwa!

Katika suala la tendo la ndoa aihitaji kufokeana wala kulazimishana, bali kugusa katika 'switch' mwenyewe tu 'atawaka' si unajua hata mgonvi aanzi kupigana pasi na hasira? Sasa unasubiri nini kuanza kumchokoza honey wako??

MGONGO

Nayo pia ni sehemu yenye msisimko sana ya kimapenzi ikiwa utakuwa makini katika kuitumia. 

Post a Comment

Kama umependezwa na hii stori toa maoni yako kama unayo

 
Top