0

 


Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana (umbusu-akubusu) hivyo ni jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti (kama zile busu za sauti za vijana mtaani) na badala yake busu kimahaba…..


Sogeza midomo yako kama ilivyo (umeifumba lakini iko-relaxed) kwenye midomo ya unaetaka kumbusu…..kisha itulize midomo hiyo juu yake na sasa toa “busu kavu” juu ya midomo yake kisha jitoe alafu rudi tena x3…..1)-inua uso wake kwa kutumia kidole (hii ni kwa wanaume) na mbusu moja kwa moja kwa kugusanisha pua kiaina…2)-Busu kwa kupindisha shingo/kichwa ili kutogusanisha pua zenu…3)-ukiwa umepindisha kichwa/shingo…mshike mkono au mkumbatie kiasi na busu tena.


Ukiona/hisi anajisogeza au anakupa ishara kuwa uendelee kwa kufungua mdomo kiaina, kukushika mkono/kifua/kitambi/kiuno au kuweka mkono kwenye bega basi endelea na “busu nyevu” kwa kubusu ktk mtindo wa kulamba-kunyonya mdomo(lips) wa chini na tulia hapo kwa sekunde chache kisha pokea ulimi wake kwa ulimi wako (bila kuachama…ni mumo kwa mumo)alafu ukwepe na kisha rudi kwenye midomo ya busu lip ya juu…..


Ongeza ujuzi wako sasa…na kumbuka kupumua kwa kutumia pua sio unampumulia mwenzio mdomoni….(atashiba hewa) au unabada pumzi (Mauti inakukumba). Unaweza kufumba macho aku kukodoa....inategema na wakati wenyewe.


Kuna aina tofauti za kubusu ili kutuma ujumbe kwa mpenzi wako lakini busu zote zinahusiaha ulimi na mate. Unaweza ukapewa busu wewe ukadhani ni kawaida (kama hujui) lakini mwenzio anakwambia amechoka, anakupenda, anashukuru, amefurahi kukuona, hataki kungonoana siku/wakati huo, hana raha/hujamfurahisha, anataka kuwa peke yake, anamachungu, yuko busy n.k.


Busu hizi zina jinsi yake ambayo utaijua kwa vitendo…..nadhani wabongo wengi hawajui unless wamewahi kufanya mahusiano ya kimapenzi na watu wenye utamaduni wa kubusu kwa mate/ulimi (Wazungu wazuri ktk hilo).


Baadhi ya watu hujiuliza kwanini wazungu wanapigana denda kila wakati lakini hawadisi/dindishi? Sio kila denda ni “nataka kutomabana” kuna denda nyingine za machungu au hasira, nakumbuka kama unampenda mwenzio lazima utahisi machungu yake sasa kudisa kutatoka wapi hapo ei?

Ongezea ujuzi na utundu ulionao ili na wengine wajifunze...karibu!

*HomeWork….muombe mpenzi wako akupe denda tofauti kuwakilisha hisia zake….kila la kheri! 

Post a Comment

Kama umependezwa na hii stori toa maoni yako kama unayo

 
Top