0

Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo kumfumania mpenzi wake wa kiume akiwa na mwanamke mwingine

Taarifa kamili tutakuletea kwa kadri tutakavyoipata, picha zaidi bonyeza hapo chini uangalie mwenyewe kama unaweza kuvumilia, lakini picha hizo zinatisha
  
PICHA YA KWANZA

Post a Comment

Kama umependezwa na hii stori toa maoni yako kama unayo

 
Top