0
WADAU HII NI HATARI KATIKA MAPENZIWADAU HII NI HATARI KATIKA MAPENZI

Aina mpya ya vimelea vya ugonjwa wa kisonono au "gono" ambavyo vinahimili dawa(resistant to drugs) zinazotumika kutibu ugojwa huu imegundulika duniani. Taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani (WHO) hivi karibuni imesema, ugonjwa wa kisonon…

Read more »

0
Mkuki Moyoni Mwangu – 50Mkuki Moyoni Mwangu – 50

            KEVIN amefanikiwa kukimbia mkono wa Jackson Motown baada ya kunusurika kuuawa huku akiwaacha Jackson Motown na washirika wake wakiwa katika hali mbaya baada ya kuwamwagia tindikali. Amekimbia na kufikia kwa mzee Thomas Edmund ambaye …

Read more »

0
SEHEMU YA PILI SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA.. SEHEMU YA PILI SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA..

SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA..  ACCESORIES PICHA NA 8020Fashions Blog …

Read more »

0
SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA.. SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA..

Read more »

0
NANI ASIE JUA MAUMIVU YA MAPENZI? JE UTATOA UHAI WAKO KWA WANGAPI? NI SWALI LA KUJIULIZA; MWANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU AJICHOMA KISU TUMBONI BAADA YA KUMFUMANIA MPENZI WAKE AKIWA NA KIMADANANI ASIE JUA MAUMIVU YA MAPENZI? JE UTATOA UHAI WAKO KWA WANGAPI? NI SWALI LA KUJIULIZA; MWANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU AJICHOMA KISU TUMBONI BAADA YA KUMFUMANIA MPENZI WAKE AKIWA NA KIMADA

Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu TIA Mkoani Singida amenusurika kufa baada ya jaribio la kutaka kujiua kwa kujichoma na kisu kushindikana,tukio hilo limetokea jana baada mwanafunzi huyo k…

Read more »

0
ANGALIA PICHA SHINDANO LA MISS REDDS JANAANGALIA PICHA SHINDANO LA MISS REDDS JANA

   Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar. Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tano bora shind…

Read more »

0
SITI MTEMVU NDIYE REDD'S MISS TANZANIA 2014SITI MTEMVU NDIYE REDD'S MISS TANZANIA 2014

Miss Tanzania 2014, Siti Abass Zuberi Mtemvu akipunga mkono mara baada ya kuvikwa taji hilo usiku wa kuamkia leo katika shindano lililoshirikisha warembo 30 na kufanyika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam. Siti Mtemvu ametwaa taji hilo lililok…

Read more »

0
JE? UNAJUA SEHEMU ZINAZOMFANYA MTU ASISIMKE KATIKA MAPENZI ?JE? UNAJUA SEHEMU ZINAZOMFANYA MTU ASISIMKE KATIKA MAPENZI ?

Kila binadamu na hisia na zake, nasema hivyo nikimaanisha kwamba unaweza ukamkuta mwingine wakati akiguswa shingo anashtuka hadi kudondoka mwingine wala hajishughulishi!!  …

Read more »

0
USIKUBALI KUPITWA NA HAYA HAPA KATIKA MAPENZIUSIKUBALI KUPITWA NA HAYA HAPA KATIKA MAPENZI

1 Lip Licking: Slowly but softly run the tip of your tongue along your lover's lips almost like you are lightly licking them. It catches most men off guard, but I've got nothing but rave reviews. …

Read more »

0
PIA HAPA UPATE MAWILI MATATU YANAYOHUSU NAMNA YA KUBUSUPIA HAPA UPATE MAWILI MATATU YANAYOHUSU NAMNA YA KUBUSU

  Ili mfurahie busu mnatakiwa kupeana (umbusu-akubusu) hivyo ni jambo muhimu la kuzingatia ni kuto achama au kukusanya midomo yako kama unataka kubusu kwa sauti (kama zile busu za sauti za vijana mtaani) na badala yake busu kimahaba….. …

Read more »

0
AMEKUSALITI, LAKINI BADO UNAMPENDA?AMEKUSALITI, LAKINI BADO UNAMPENDA?

  Namshukuru Jalali kwa kuniwezesha kukutana tena na wewe msomaji wangu mpendwa wa safu hii nzuri ambapo tunajuzana, kushauriana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi.…

Read more »

0
UTAKUWA HUJAMTENDEA HAKI MPENZI WAKO ENDAPO UTATENDA HIVIUTAKUWA HUJAMTENDEA HAKI MPENZI WAKO ENDAPO UTATENDA HIVI

Usikubali kuogopa kumuonyesha mke wako au girlfriend wako unampenda kisa unaogopa washkaji au ndugu watakusema umekaliwa naye.…

Read more »

0
UNAPOANZA NA KUFAFNYA HIKI KATIKA MAPENZI NI MAKOSA UNAPOANZA NA KUFAFNYA HIKI KATIKA MAPENZI NI MAKOSA

KUNA watu wanaanzisha mapenzi, kabla ya yote tayari wanazungumza kwamba katika uhusiano wetu tutakuwa hivi na vile, lakini kuna mwingine unamwambia tu unampenda, dakika tano zijazo tayari mnakwenda kukutana faragha. …

Read more »

0
JE UNAJUA MADHARA YA KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA BASI NI HAYA HAPAJE UNAJUA MADHARA YA KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA BASI NI HAYA HAPA

Wapenzi wengi hasa wale ambao uhusiano wao ni mchanga hupenda sana kufanya mapenzi kila wanapokutana au wanapohisi wamehemkwa na miili yako.…

Read more »

0
KUNA NJIA NYINGI ZA KUPATA MWEZA WA KUFA NA KUZIKANA ,LAKINI HII IMEKAA POA SANAKUNA NJIA NYINGI ZA KUPATA MWEZA WA KUFA NA KUZIKANA ,LAKINI HII IMEKAA POA SANA

  Ni njia gani za kumpata mwenzi wa maisha yako? Inawezekana unakabili mtihani mzito, hujui ni yupi wa nafsi yako. Bila shaka unamtaka yule wako wa kufa na kuzikana.…

Read more »

0
MDAU WA KISIWA CHA MAPENZI EBU IPITIE HII :UNAWEZA KUMPENDA SANA MPENZI WAKO WAKATI YEYE HAKUPENDI, MDAU WA KISIWA CHA MAPENZI EBU IPITIE HII :UNAWEZA KUMPENDA SANA MPENZI WAKO WAKATI YEYE HAKUPENDI,

UHUSIANO  wenye amani na masikilizano ndiyo kitu ambacho kila mmoja wetu anakihitaji na ikiwa hivyo unaweza ukajikuta unanawiri tu!   Wakati mwingine unaweza hata kujikuta hujala chochote lakini ukajihisi umeshiba eti kwa sababu tu umemuona mpenzio …

Read more »

0
JE KUNA UMUHIMU WA KUWA NA MWENZI WA MAISHA ? EBU IPITIE HII MADAU WA KISIWAJE KUNA UMUHIMU WA KUWA NA MWENZI WA MAISHA ? EBU IPITIE HII MADAU WA KISIWA

HAPANA shaka mtakuwa wazima wa afya njema na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku kama kawaida. Kwa upande wangu mimi ni mzima wa afya njema kwa uwezo wa Maanani.…

Read more »

0
HIZI NDIZO SABABU ZINAZOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!HIZI NDIZO SABABU ZINAZOWEZA KUMFANYA MPENZI WAKO AKATEMBEA NA RAFIKI YAKO!

  Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana tena kupitia safu hii nikiamini umzima bukheri wa afya na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi namshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniwezesha kutimiza majukumu yangu ya…

Read more »

0
UKIFANYA KAMA HUJALI, HUTASUMBUKA!UKIFANYA KAMA HUJALI, HUTASUMBUKA!

KUNA kelele nyingi sana kutoka kwa akina mama, wakilia kutendwa na wenza wao. Nimewahi kukutana nao wengi sana, wakilalamika na ukijaribu tu kuwagusia kuhusu nia yako ya kutaka urafiki nao, utawasikia: “Weee, tena sitaki hata kumsikia mtu anaitwa mw…

Read more »

0
KAULI ZA HATARI KWENYE MIGOGORO YA WAPENZI.KAULI ZA HATARI KWENYE MIGOGORO YA WAPENZI.

WAKATI fulani kwenye uhusiano suala la migogoro ni la kawaida. Inaelezwa kwamba, wapenzi wanapoingia kwenye kuhitilafiana ndiyo uimara wa penzi unapotokea.  Yeah! Matatizo hukomaza akili. Mkikaa bila kugombana ni vigumu kujua namna mwenzako alivyo…

Read more »

0
MDAU WA KISIWA PITIA MASHAIRI YA WIMBO WA I Don't Ever Wanna See You Again Wa UNCLE SAM MDAU WA KISIWA PITIA MASHAIRI YA WIMBO WA I Don't Ever Wanna See You Again Wa UNCLE SAM

"I Don't Ever Wanna See You Again" was written by Morris, Nathan.  Edit "I Don't Ever Wanna See You Again" was written by Morris, Nathan. For Example... What chart rank did the song debut? What is the song about? Has it won any awards?, etc. Cancel…

Read more »

0
 HIZI NDIZO SIKU ZA HATARI ZA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA HIZI NDIZO SIKU ZA HATARI ZA MWANAMKE KUSHIKA MIMBA

HABARI za leo wasomaji wangu? Kabla ya kuanza mada hii ya leo napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa Mungu kwani ameniwezesha kufika siku hii.Mada leo inahusu siku za hatari ambazo mwanamke  akifanya ngono bila kinga basi anakuwa katika hatari…

Read more »
 
 
Top