Mimi ni Msichana wa Miaka 25 imetokea
bahati mbaya tumeachana na Mchumba wangu baada ya yeye kupata msichana
mwingine nimelia sana ili turudiane lakini wapi , kibaya zaidi akiwa na
marafiki zake ananiongelea mimi kuwa eti sijui mapenzi ya kitandani kuwa
eti huwa tukifanya nalala kama mgomba ...na mengine mengi ya siri
ambayo labda ni kweli ama si kweli ....Sasa nashindwa kuelewa kwanini
anivue nguo mbele ya rafiki zake baada ya kuachana ....naona aibu hata
kupita mtaaani anaongea sana jamani ...Nifanyaje?
Home
»
» Unlabelled
» HUNITAKI TENA KWA SABABU UMEPATA MWINGINE SASA KWA NINI UNANIVUA NGUO KWA MARAFIKI ZAKO?
Recent Posts
WADAU HII NI HATARI KATIKA MAPENZI
Aina mpya ya vimelea vya ugonjwa wa kisonono au "gono" ambavyo vinahimili dawa(resistant to [...]
Mar 01, 2016SEHEMU YA PILI SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA..
SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA.. ACCESORIES[...]
Oct 12, 2014NANI ASIE JUA MAUMIVU YA MAPENZI? JE UTATOA UHAI WAKO KWA WANGAPI? NI SWALI LA KUJIULIZA; MWANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU AJICHOMA KISU TUMBONI BAADA YA KUMFUMANIA MPENZI WAKE AKIWA NA KIMADA
Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu T[...]
Oct 12, 2014ANGALIA PICHA SHINDANO LA MISS REDDS JANA
Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shinda[...]
Oct 12, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Kama umependezwa na hii stori toa maoni yako kama unayo
EmoticonClick to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.