binadamu kama binadamu tunakosea sana, kuna mambo mengi sana ambayo
mwenzio akikufanyia especially kwenye suala la mapenzi, unaweza ukalia
sanaa, ukashindwa hata kusamehe, sasa hebu njooni tuzungumze,,, hii ya
kutokusamehe, iko sawa kweli?????? na kama yapo makosa yasiyo sameheka,
hebu yataje hapa, tuyajue,,,, maana mimi violet Gerald, naamini kwamba
makosa yoote yanaweza kusameheka, ila inategemea na jinsi wewe mwenyewe
ulivyolichukuliwa,, umelipaje uzito hilo kosa ulilokosewa???????
karibuni tufundishane
Recent Posts
WADAU HII NI HATARI KATIKA MAPENZI
Aina mpya ya vimelea vya ugonjwa wa kisonono au "gono" ambavyo vinahimili dawa(resistant to [...]
Mar 01, 2016SEHEMU YA PILI SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA..
SIKU YA HARUSI YANGU NITAVAA GAUNI MOJA KATI YA HAYA.. ACCESORIES[...]
Oct 12, 2014NANI ASIE JUA MAUMIVU YA MAPENZI? JE UTATOA UHAI WAKO KWA WANGAPI? NI SWALI LA KUJIULIZA; MWANAFUNZI CHUO CHA UHASIBU AJICHOMA KISU TUMBONI BAADA YA KUMFUMANIA MPENZI WAKE AKIWA NA KIMADA
Mwanafunzi aliefahamika kwa jina moja la Moza alie mwaka wa kwanza katika chuo cha Uhasibu T[...]
Oct 12, 2014ANGALIA PICHA SHINDANO LA MISS REDDS JANA
Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shinda[...]
Oct 12, 2014