usiku,natamani kukuona,ukijigeuza geuza kitandani,Lakini hayo hayawezekani kwa kuwa tupo mbali.NAKUPENDA DEAR..........

*************
You may think that I forgot you,you may think that I'm not thinking of you,Well you're wrong,you are still in my dreams.
*************
Usiku ni mrefu sana mpenzi wangu ingawa nimezoea joto lako,lakini upo mbali kumbatia mto wako laaziz wangu,ukiupa nafasi yangu.Usiku mwema mpenzi wangu.

*************
Nimekumbuka 50% nimekuwaza 75% nateseka juu yako 80% natamani kukuona 100% nakupenda,amini nakuhitaji speed 190%,huo ni ukweli kutoka moyoni mwangu,I LOVE YOU.
*************
Nimemtuma kipepeo aje akubembeleze kwa upole akupapase na kukuachie marashi mazuri uyapendayo na ukarimu akunong'oneze kuwa nakupenda,JE! Kafika?

*************
Wewe ni asali,nami ni haluwa,pendo letu ni ghali si la kununua,japo upo mbali penzi litachanua.

 
Top