0
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlFy9c7xqtoCA3fhLlRAkLuTOwZX_SyKJpWL7iwstptrUsoZt_EvCTJ6bpH6G20tU2_2GHP06WYkGNuepIyd9Axt2Kz0nW0sEiX7M9uPeGMmTkOwEXJb_oRDn0FquQCpGAJDyQ5rtyHOo/s1600/pete+ya+ndoa.jpg 
Habari yako mpenzi wa Kisiwa cha mapenzi ? natumai uko poa kabisa kwa mapenzi yake mola nakama haupo poa basi mungu atakupa afya njema . Leo hii tuna angalia ama napenda tuongelee hili swala la kuvishwa pete ya uchumba.

Kwanza pete ni nini?
Pete ni ishara ya kuonyesha kuwa tayali upo katika mahusiano na mtu ambaye unaona au umeona ndiye chaguo sahihi lako katika maisha yako .

Uchumba ni nini ?

Uchumba ni kitu cha muhimu katika mapenzi na ni hatua nzuri kwa wapendanao walioridhiana kwa kila jambo,hasa pale mnapoamua kuvalishana pete ya uchumba.
 Unapovishwa pete ya uchumba inatakiwa usikae si zaidi ya mwezi mmoja au miwili bila kufunga ndoa.

 Lakini cha kushangaza wapenzi wa siku hizi wanavaa pete kama fashion,urembo n.k uchumba ni jambo zito hayo ni maoni yangu  Nawasilisha ebu nawe lete maoni yako juu ya hili.

Post a Comment

Kama umependezwa na hii stori toa maoni yako kama unayo

 
Top