
Ni kawaida katika mahusiano kuwa na magomvi yasiyokwisha juu ya wapenzi kutoka nje ya mahusiano; si jambo la ajabu tena kwa maisha ya sasa yaliyochanganyika tamaduni na historia mbalimbali. Kama mwandishi na mdadisi wa maisha ya kila siku yamuhusuyo…