
Huu ni wimbo wa Dayna Nyange
Feat Blue – Leo , ambaye anasema na mpenzi wake , kwani asiposema nae
atasema na nani yake ya moyoni
,Katika Mapenzi/ mahusiano hutakiwi kumuogopa mpenzi wako wala kumuonea
aibu kuwa free kwake kumweleza yako ya
moyoni, Ebu usikilize