0


 
Kwa Wale ambao tunapata bahati ya maskio yetu kupata udaku wa hapa na pale bila shaka tumeshawahi kulisikia hili, " Ukipiga Sipu ya Pweza Kabla ya Mechi" Basi Uwanjani Patachimbika. Leo tutajaribu kudadavua kwa upande wetu hili limekaa vipi?


                  Kwanza kabala sijaenda mbali zaidi napenda niseme kwamba hii ni dhana ya kisaikolojia, ambayo hukupa fikra ya kimchezo zaidi unapokuwa na mkeo, pia hukupa ujasiri na ushujaa wa kuutawala Mchezo, ni nzuri kiupande mmoja, lakini haina 100% ukweli. Performance yako inatokana na kujiandaa na kuwa kimchezo zaidi.

Kama nilipoeleza hapo awali kuhusu vyakula kwa ajili ya afya ya mapenzi, nilizungumzia "nyama" (Red meat) ikichomwa huongeza mafuta na protein ambayo uhitajika zaidi kipindi cha mchezo. Pweza kama pweza, huangukia upande huu pia, huleta mafuta na protein, kinachochangia zaidi ni ile imani uliyo kichwani kwako, hii hufanana na mwanaume aliekunywa vidonge vya kuongezea nguvu za kiume, mathali "Enjoy" au Erecta 2.5, Huwa na uhakika wa kufanya vizuri mchezoni kama mwanafunzi aliyeingia katika chumba cha mtihani akiwa na "Chabo/Nyenzo/Kibomu" obvious atakuwa na asilimia kubwa ya ushindi.
                      Kwa mfululizo huu hata karanga mbichi na maziwa huwa na athari za kufanana na vitu tulivyoviongelea hapo juu.


Next
Newer Post
Previous
This is the last post.

Post a Comment

Kama umependezwa na hii stori toa maoni yako kama unayo

 
Top