.jpg)
Jambo hili limezua migongano mingi sana kwenye ndoa hadi kupelekea ndugu kuona kwamba mke au mume anamzuia ndugu yao kuwasaidia. Pia imeleta shida kwa wanandoa wenyewe kwa wenyewe. Tatizo mara nyingi sio ndugu bali ni wanandoa, mmoja anapoamua kutoa…