
Mapenzi ni idadi kadhaa ya hisia zinazohusiana na mahaba, pendo na hata upendo wa Kimungu.Neno "kupenda" linaweza kurejelea aina za hisia, hali na mitazamo tofauti, kuanzia ridhaa ya jumla ("Napenda chakula hicho"), hadi mvuto mkali kati ya watu ( "…